You have completed % of this survey
Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.

Politrak Malava Sept 2025

Good morning/afternoon!//Habari ya asubuhi/jioni?

My name is …….. calling from Infotrak Research and I’m hoping you can spare approximately 10 minutes of your time to share your thoughts on current affairs and issues affecting Malava constituency. If you agree to participate in this survey, your views will be consolidated with those of other residents in your constituency to produce a report on the views of Malava residents.

//Jina langu ni………kutoka kampuni ya utafiti ya Infotrak Research and Consulting. Natumaini yakwamba utanipa dakika kumi hivi ili tuweze kujadiliana kwa kina kuhusu masuala ya hivi sasa na mambo yanayowakabili wakaazi wa Malava. Ukikubali kushiriki katika utafiti huu, maoni yako yatajumuishwa pamoja na yale ya wakaaji wengine wa eneo bunge lako la Malava.

There are 29 questions in this survey.