My name is … from Infotrak Research & Consulting. We are currently conducting a survey to ascertain the views of your county on current affairs and various issues of concern and I’m hoping that you can spare approximately 5 minutes of your time to share your thoughts on the same. // Jina langu ni ... kutoka kampuni ya Utafiti wa Infotrak. Kwa sasa tunafanya uchunguzi ili kubaini maoni ya wakaazi wa Meru county kuhusu masuala ya sasa na masuala mbalimbali yanayowahusu na ninatumai kuwa unaweza kutenga takriban dakika 5 za wakati wako ili kutoa maoni yako.
There are 60 questions in this survey.