Good morning/afternoon!//Habari ya asubuhi/jioni?
My name is … calling from Infotrak Research and I’m hoping you can spare approximately 10 minutes of your time to share your thoughts on current affairs and issues affecting Purko Ward. If you agree to participate in this survey, your views will be consolidated with those of other residents in your ward to produce a report on the views of Purko residents.
//Jina langu ni………na ninakupigia simu kutoka kampuni ya utafiti ya Infotrak Research and Consulting. Natumaini yakwamba utanipa dakika kumi hivi ili tuweze kujadiliana kwa kina kuhusu masuala ya hivi sasa na mambo yanayowakabili wakaazi wa Purko. Ukikubali kushiriki katika utafiti huu, maoni yako yatajumuishwa pamoja na yale ya wakaaji wengine wa wodi yako ya Purko.
There are 29 questions in this survey.